KINGA
Condom kupitia BodaWangu
Omba kinga kwa faragha kupitia watoa huduma na delivery partner wanaoshiriki.
Ombi la faragha
Rider hahitaji kuona kilichomo ndani ya kifurushi. Mfumo hutumia order code kwa fulfilment.
- Chagua delivery au pickup.
- Tumia live location kwa hiari.
- Hatua ya mwisho itathibitishwa na timu/partner.
